Mbegu Chache za Kiume: Kipimo na Hatua

Angalia ndani 👀

Mbegu Chache za Kiume: Kipimo na Hatua

Kusoma majibu ya kipimo cha shahawa, sababu 10 zinazopunguza mbegu, mpango wa miezi 3 wa kuboresha, na tiba za hospitali.
📄 Kurasa 8🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 16 kusoma 🔞 18+
TSh 3,000TSh 5,000
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Kwa nini mwanaume apimwe mapema
  • Jinsi ya kujiandaa na kipimo cha shahawa
  • Kusoma majibu yako (jedwali la WHO)
  • Sababu 10 zinazopunguza mbegu – pamoja na kichocho
  • Mpango wa miezi 3 (mbegu huchukua siku 74 kukomaa)
  • Virutubisho: ukweli
  • Tiba za hospitali: varicocele, IUI, IVF/ICSI
  • Muda sahihi wa tendo

Angalia ndani 👀

Wanandoa wengi humlaumu mwanamke peke yake. Lakini Muhimbili wanasema karibu theluthi mbili ya matatizo wanayoyaona kwenye IVF yanaanzia kwa wanaume. Habari njema: mengi yanaboreka.

Kwa ajili ya: Wanaume na wanandoa wanaotafuta mtoto bila mafanikio

Unaweza pia kupenda

TSh 3,000
Nunua sasa
💬