Masharti ya matumizi
1. Vijitabu vya Elimu Kiganjani ni kwa matumizi binafsi ya aliyelipia. Hairuhusiwi kuviuza, kuvisambaza au kuviweka mitandaoni.
2. Taarifa za afya ni elimu ya jumla, sio utambuzi wala matibabu. Wasiliana na daktari kwa tatizo lako binafsi na kabla ya kutumia dawa yoyote.
3. Kwa kuwa ni bidhaa ya kidijitali inayopakuliwa papo hapo, malipo hayarudishwi isipokuwa kama hukupata kijitabu ulicholipia. Katika hali hiyo tutakutumia kijitabu au kurudisha pesa.
4. Vijitabu vilivyowekwa alama 18+ ni kwa watu wazima tu.
5. Tunaweza kubadilisha bei na maudhui wakati wowote.