Usaili wa Serikali: Maswali na Jinsi ya Kujibu

Angalia ndani 👀

Usaili wa Serikali: Maswali na Jinsi ya Kujibu

Hatua za usaili (mchujo, maandishi, mahojiano), aina za maswali ya jumla na ya kitaaluma, mbinu ya STAR ya kujibu, maandalizi ya siku ya usaili.
📄 Kurasa 6🗣️ Kiswahili rahisi⏱️ Dakika 12 kusoma
TSh 2,500TSh 4,000
M-PesaMixx by YasAirtel MoneyHaloPesa

🔒 Utapokea ujumbe kwenye simu, weka PIN. Kijitabu kinafunguka papo hapo.

Utajifunza nini?

  • Hatua 3 za usaili wa serikali
  • Mada za maswali ya jumla (sera, utumishi, maadili)
  • Maswali ya kitaaluma: jinsi ya kujiandaa
  • Maswali 15 ya mahojiano na mifano ya majibu
  • Mbinu ya STAR
  • Mavazi, nyaraka na siku ya usaili

Angalia ndani 👀

Kuitwa kwenye usaili ni nusu ya safari. Maandalizi sahihi ndiyo yanayokutofautisha na mamia ya waombaji wengine.

Kwa ajili ya: Walioitwa kwenye usaili wa serikali na taasisi za umma

Unaweza pia kupenda

TSh 2,500
Nunua sasa
💬