
Angalia ndani 👀


Kuacha Punyeto: Mpango wa Siku 30
Ukweli wa kisayansi (bila kutisha), lini inakuwa tatizo, vichochezi, na mbinu 8 za kudhibiti tabia hii kwa wanaotaka kuacha.
TSh 2,000TSh 3,000
Utajifunza nini?
- Ukweli dhidi ya hadithi za mitaani
- Ishara kwamba imekuwa tabia isiyodhibitika
- Kutambua vichochezi vyako
- Mbinu 8 zinazofanya kazi
- Simu na picha za ngono: hatua za kiufundi
- Ukirudi nyuma: nini cha kufanya
- Mpango wa siku 30
- Lini utafute mshauri
Angalia ndani 👀


Mitandaoni kuna hadithi nyingi za kutisha kuhusu punyeto. Kijitabu hiki kinakupa ukweli wa kisayansi na mpango wa vitendo kwa wanaotaka kudhibiti au kuacha tabia hii.
Kwa ajili ya: Wanaume na wanawake 18+ wanaotaka kudhibiti au kuacha tabia ya punyeto au picha za ngono
Unaweza pia kupenda
-33% Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
Chanzo halisi (sio pilipili!), vipimo, dawa zinazotibu kweli, chakula sahihi, na kwa nini vidonda hurudi.
TSh 3,000TSh 4,500
-40% Gesi Tumboni na Kiungulia: Tumbo Tulivu
Kwa nini tumbo linajaa na kifua kinaungua, vyakula vinavyochochea, na hatua za haraka na za kudumu.
TSh 1,500TSh 2,500
-38% Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali
Kwa nini inatokea, hatua 7 za kupunguza maumivu na damu nyumbani, dawa, tiba za hospitali – na ukweli kuhusu 'bawasiri na nguvu za kiume'.
TSh 2,500TSh 4,000
-33% Ngiri: Ukweli, Hatari na Tiba
Aina za ngiri, dalili za hatari zinazohitaji hospitali mara moja, kwa nini dawa haiponyeshi ngiri, na upasuaji unavyofanyika.
TSh 2,000TSh 3,000
TSh 2,000
Nunua sasa