
Angalia ndani 👀


Huduma za Serikali Mtandaoni: NIDA, TIN, Leseni, Vyeti
Mwongozo wa huduma muhimu za serikali unazoweza kuanza mtandaoni: kitambulisho cha taifa, TIN, leseni ya udereva, cheti cha kuzaliwa, ardhi, na kulipa kwa control number.
TSh 1,500TSh 2,500
Utajifunza nini?
- Kanuni za usalama za tovuti za serikali (.go.tz)
- NIDA: kuangalia na kufuatilia namba
- TIN ya mtu binafsi mtandaoni
- Leseni ya udereva
- Cheti cha kuzaliwa (RITA)
- Ardhi (e-Ardhi)
- Kulipa kwa control number
- Malalamiko: e-Mrejesho
Angalia ndani 👀


Huduma nyingi za serikali sasa zinaanzia mtandaoni. Kujua mahali sahihi kunakuokoa muda, nauli na matapeli wanaojifanya 'mawakala'.
Kwa ajili ya: Kila Mtanzania anayetaka kuokoa muda wa foleni
Unaweza pia kupenda
-33% Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi
Chanzo halisi (sio pilipili!), vipimo, dawa zinazotibu kweli, chakula sahihi, na kwa nini vidonda hurudi.
TSh 3,000TSh 4,500
-40% Gesi Tumboni na Kiungulia: Tumbo Tulivu
Kwa nini tumbo linajaa na kifua kinaungua, vyakula vinavyochochea, na hatua za haraka na za kudumu.
TSh 1,500TSh 2,500
-38% Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali
Kwa nini inatokea, hatua 7 za kupunguza maumivu na damu nyumbani, dawa, tiba za hospitali – na ukweli kuhusu 'bawasiri na nguvu za kiume'.
TSh 2,500TSh 4,000
-33% Ngiri: Ukweli, Hatari na Tiba
Aina za ngiri, dalili za hatari zinazohitaji hospitali mara moja, kwa nini dawa haiponyeshi ngiri, na upasuaji unavyofanyika.
TSh 2,000TSh 3,000
TSh 1,500
Nunua sasa