💰 Pesa na Biashara
-50% Haki Zako Ukidaiwa na App za Mikopo
Wanachokatazwa wakopeshaji wa mtandaoni na BoT, jinsi ya kuangalia kama wana leseni, kulalamika, na mpango wa kujinasua kwenye madeni.
TSh 1,500TSh 3,000
-40% Ufugaji wa Kuku Chotara na Kienyeji kwa Mtaji Mdogo
Kuchagua aina, banda bora, kulea vifaranga, chakula, ratiba ya chanjo, kuzuia magonjwa, hesabu ya faida, na masoko.
TSh 3,000TSh 5,000
-43% Kusajili Biashara: BRELA, TIN na Leseni
Hatua kwa hatua: jina la biashara au kampuni, TIN ya mtu binafsi na ya biashara, leseni ya halmashauri, kodi ya mwanzo, na makosa ya kuepuka.
TSh 2,000TSh 3,500
-43% Biashara 20 za Mtaji wa TSh 50,000
Mawazo 20 yanayoanzishwa kwa mtaji mdogo, jinsi ya kuchagua inayokufaa, kupiga hesabu ya faida, na kanuni 7 za kukuza biashara ndogo.
TSh 2,000TSh 3,500
-40% Kuuza Mtandaoni kwa Instagram na WhatsApp Business
Kufungua akaunti za biashara, picha nzuri kwa simu, kuandika maelezo yanayouza, ratiba ya kupost, kupokea malipo salama, matangazo kwa bajeti ndogo.
TSh 3,000TSh 5,000
-33% VICOBA: Kuanzisha na Kuendesha Kikundi cha Akiba
Wanachama, katiba, hisa, mfuko wa jamii, mikopo na riba, sanduku la funguo 3, mikutano, kumbukumbu, na kugawana mwisho wa mzunguko.
TSh 2,000TSh 3,000
-33% Bustani ya Mboga Nyumbani na Kwenye Viroba
Kilimo cha viroba na vyombo kwa nafasi ndogo mjini, udongo na mbolea ya mboji, mboga 8 rahisi, kumwagilia, wadudu kwa njia za asili, na kuuza ziada.
TSh 2,000TSh 3,000
-50% Matapeli wa Mobile Money na Mtandaoni: Jilinde
Mbinu 10 za matapeli Tanzania, dalili za utapeli, kulinda PIN na SIM, na hatua za haraka ukishatapeliwa.
TSh 1,000TSh 2,000