🏠 Ardhi na Sheria
-40% Hati Miliki ya Kiwanja: Hatua kwa Hatua
Kwa nini hati ni muhimu, aina za hati (ya mjini na ya kimila), hatua za kupima na kumilikishwa, mfumo wa e-Ardhi, nyaraka, na kuepuka migogoro.
TSh 3,000TSh 5,000
-38% Mirathi: Ndugu Akifariki, Mali Inagawanywaje?
Sheria tatu za mirathi Tanzania, hatua za kufungua mirathi mahakamani, kazi za msimamizi, haki za mjane na watoto, na kuandika wosia.
TSh 2,500TSh 4,000
-43% Kununua Kiwanja Bila Kutapeliwa
Ukaguzi 10 kabla ya kulipa, kuhakiki kwa Msajili wa Hati, serikali ya mtaa, mkataba wa mauzo, kulipa salama, kuhamisha miliki, na ishara za utapeli.
TSh 2,000TSh 3,500
-50% Mkataba wa Kupanga Nyumba: Haki za Mpangaji na Mwenye Nyumba
Vipengele 12 vya mkataba mzuri, kodi ya mapema na amana, matengenezo, kuondoka/kutolewa, risiti, na kutatua migogoro.
TSh 1,000TSh 2,000