🩺 Afya ya Mwili

Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi -33%

Vidonda vya Tumbo: Pona na Visirudi

Chanzo halisi (sio pilipili!), vipimo, dawa zinazotibu kweli, chakula sahihi, na kwa nini vidonda hurudi.
TSh 3,000TSh 4,500
Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali -38%

Bawasiri: Tiba Nyumbani na Hospitali

Kwa nini inatokea, hatua 7 za kupunguza maumivu na damu nyumbani, dawa, tiba za hospitali – na ukweli kuhusu 'bawasiri na nguvu za kiume'.
TSh 2,500TSh 4,000
Kisukari: Mpango wa Chakula wa Siku 30 -40%

Kisukari: Mpango wa Chakula wa Siku 30

Sahani ya afya, vyakula vya Kitanzania vinavyofaa, menyu ya wiki, kupima sukari, na kujikinga na sukari kushuka.
TSh 3,000TSh 5,000
Harufu Mbaya ya Mdomo: Iondoe kwa Siku 14 -40%

Harufu Mbaya ya Mdomo: Iondoe kwa Siku 14

Chanzo cha 90% ya harufu kiko mdomoni – jifunze kukiondoa
TSh 1,500TSh 2,500
Gesi Tumboni na Kiungulia: Tumbo Tulivu -40%

Gesi Tumboni na Kiungulia: Tumbo Tulivu

Kwa nini tumbo linajaa na kifua kinaungua, vyakula vinavyochochea, na hatua za haraka na za kudumu.
TSh 1,500TSh 2,500
Ngiri: Ukweli, Hatari na Tiba -33%

Ngiri: Ukweli, Hatari na Tiba

Aina za ngiri, dalili za hatari zinazohitaji hospitali mara moja, kwa nini dawa haiponyeshi ngiri, na upasuaji unavyofanyika.
TSh 2,000TSh 3,000
Presha: Pima Nyumbani, Jua Namba Zako -43%

Presha: Pima Nyumbani, Jua Namba Zako

Jinsi ya kupima kwa usahihi, maana ya namba, kuchagua mashine, chumvi kiasi gani, na hatua 6 za kushusha presha.
TSh 2,000TSh 3,500
Kichocho: Jikinge na Utibiwe -50%

Kichocho: Jikinge na Utibiwe

Jinsi kichocho kinavyoambukizwa kwenye maji, dalili kwa watoto na watu wazima, kipimo, dawa, na kulinda familia.
TSh 1,000TSh 2,000
Maumivu ya Mgongo na Kiuno: Mazoezi na Tiba -40%

Maumivu ya Mgongo na Kiuno: Mazoezi na Tiba

Kwa madereva, bodaboda, wafanyakazi wa ofisini na wakulima: sababu, mazoezi 6 ya dakika 10, kukaa na kubeba sahihi, na dalili za hatari.
TSh 1,500TSh 2,500
Macho Kuuma kwa Simu na Kompyuta -50%

Macho Kuuma kwa Simu na Kompyuta

Kanuni ya 20-20-20, mipangilio ya simu, macho makavu, watoto na myopia, na lini upime macho.
TSh 1,000TSh 2,000
Minyoo: Dalili, Dawa na Kujikinga -50%

Minyoo: Dalili, Dawa na Kujikinga

Aina za minyoo, dalili kwa watoto na watu wazima, dawa za kila baada ya miezi 6, na usafi unaozuia kuambukizwa tena.
TSh 1,000TSh 2,000
UTI: Kuungua Ukikojoa na Kwa Nini Inarudi -40%

UTI: Kuungua Ukikojoa na Kwa Nini Inarudi

Dalili, kipimo sahihi, tiba, hatua 8 za kuzuia UTI kurudi, na dalili za hatari kwa figo na wajawazito.
TSh 1,500TSh 2,500
Kucha Kuingia Ndani ya Nyama -33%

Kucha Kuingia Ndani ya Nyama

Jinsi ya kukata kucha sahihi, kuloweka na kuinua kucha nyumbani, dalili za maambukizi, na tiba ndogo ya kliniki.
TSh 1,000TSh 1,500
💬